Header Ads 728*90

SIMBA YATINGA FAINALI YA FA CUP

 MOO, aipaisha Simba alaumeme

Klabu ya simba imetinga fainali ya kombe la shirikisho la soka  Tanzania  bara (FA),  maarufu kama Azam Federation Cup, baada ya hapo jana kuiondosha Azam Fc kwanbao1-0 mchezo wa nusu fainali uliopigwa kunakouwanja wa Taifa Jijini Dar es-Salaaam. Bao lililofumgwa naMohamed Ibrahim(MOO) baada ya kupokeapasi murua kutoka kwa King Laudit Mavugo.

No comments

Powered by Blogger.