TSJ NA MCHAKATO WA KUFUNGUA VETA.
Na John Richaard
CHUO
cha Uandishi wa Habari Time School of Journalism (TSJ), kupitia Mratibu wa
Masomo Blandina Semaganga amebainisha kuwa wako mbioni kufungua Chuo ch Elimu
ya Ufundi Stadi
(VETA)
alipokuwa katika Sherehe za Bash ijumaa ya wkienda iliyopita.
Licha
ya changamoto zinazo kikabili chuo hicho amesema wanaanzisha chuo hicho ili
kuweza kutoa huduma ya aina mbali mbali itakayo wafanya wawe na wanafunzi wa
aina tofauti tofauti katika fani mbalimbali chuoni hapo.
“Chuo
cha TSJ tunatoa elimu ya uandishi wa habari lakini chuo kipo kwenye mchakato wa
kuanzisha VETA, lengo ni kutoa wahitimu wa aina mbalimbali na wenye ujuzi
tofauti tofauti, ikiwa ni moja kuboresha
huduma zetu kwa jamii ya Kitanzania.” alisema.
No comments