Header Ads 728*90

GARI LAGONGA NA KUJERUHI 19 NEW YORK


Ajali ya yaua mmoja na kujeruhi 19  ni gari lililoendeshwa kuenda sehemu ya kupitia watu eneo la Times Square mjini New York, Marekani.
Dereva wa gari hilo amekamatwa na eneo hilo kufungwa kwa mujibu wa idara ya polisi ya mji wa New York.

No comments

Powered by Blogger.